Tamthilia ya vijana,
inayoongozwa na vijana iliyojaa,
mapenzi, vioja, maisha ya muziki
na vingi vinginevyo, inayorushwa
kupitia Clouds Tv imerudi tena
kwa msimu wa tatu. na sasa
utaiona kila siku za jumatatu,
kuanzia saa tatu na nusu
ABC
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment