Breaking News
recent

Mtoto wa Michael Jackson, Paris ahamishiwa katika hospitali ambayo baba yake alikatia roho

Jumamosi (June 8) mtoto wa
kike wa hayati Michael Jackson
aitwaye Paris Jackson
alihamishiwa katika hospitali ya
UCLA Medical Center ambapo
ndipo alilazwa MJ June 25, 2009
na mauti kumkuta.
Paris mwenye miaka 15
alifikishwa katika hospitali ya
Los Angeles Jumatano (June 5)
alikolazwa kwa saa 72 kabla ya
kuhamishiwa UCLA Medical
Center baada ya jaribio lake la
kujiua kugonga mwamba.
Kwa mujibu wa chanzo kati ya
sababu ambazo zinahisiwa
kusababisha maamuzi magumu
aliyoyachukua Paris kutaka
kujiua ni pamoja na matatizo ya
kifamilia ambayo yamekuwepo
kwa kipindi kirefu toka MJ
afariki dunia mwaka 2009.

ABC

ABC

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.