Breaking News
recent

Oprah Winfrey atunukiwa ‘Honorary Doctorate Degree’ kutoka Havard University.


Mwanamke mwenye mafanikio
makubwa kupitia talk show
yake Oprah Winfrey, jana (May
30) akiwa katika vazi la joho
ameongeza CV yake ya elimu
baada ya kutunukiwa shahada
ya uzamivu ya heshima
(honorary doctorate) kutoka
Harvard University.
Oprah shahada hiyo ya Doctor
of Laws degree’, alitoa hotuba
yake wakati wa kufuzu na
kushare mambo kadhaa na
wahitimu wenzake, ambayo
mengi ni uzoefu wake hasa
upande wa changamoto
alizokuwa akikutana nazo katika
safari nzima ya mafanikio ya
career na maisha kwa ujumla.
“Haijalishi kwa kiasi gani
unaweza kuwa juu … Katika
hatua nyingine unakuwa
mwenye mashaka, … Na wakati
wa kufanya, kumbuka hili:
hakuna kitu kama kushindwa.
Kushindwa ni hali tu ya maisha
kujaribu kukupeleka katika
mwelekeo mwingine. ”
Tazama hotuba yake wakati wa
graduation yake jana (May 30)

ABC

ABC

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.