Breaking News
recent

Justin Bieber ni miongoni mwa mastaa waliosign kwenda safari ya utalii wa angani ‘Outer Space’

Imefahamika kuwa msanii
mdogo anaeandikwa sana
mtandaoni kwa sasa Justin
Bieber ame sign kwaajili ya
safari ya utalii wa angani
mapema mwakani ‘outer
space’.
Pop Sensation Justin Bieber
mwenye miaka 19 na meneja
wake Scooter Braun wamesign
na kampuni ya Virgin Galactic ,
inayotoa huduma ya ‘space
flights’ kwaajili ya safari ya
utalii wa angani ‘space
tourism’.
Taarifa hiyo ilipatikana (June 5)
kutoka kwa muanzilishi wa
Virgin bwana Richard Branson
aliyetweet akitoa taarifa juu ya
Bieber na meneja wake
kuongezeka katika orodha ya
zaidi ya watu 500 watakaoenda
safari ijayo, “Great to hear
@justinbieber & @scooterbraun
are latest @virgingalactic future
astronauts,” tweeted Branson.
“Congrats, see you up there!” ,
tweet ambayo Bieber alii re-
tweet.
Pamoja na Bieber, mastaa
wengine ambao watakuwa
katika safari hiyo ni pamoja na
Ashton Kutcher, Brad Pitt na
Angelina Jolie.
Inagharimu kiasi cha $250,000
sawa na zaidi ya million 400 za
Tanzania kuweza kuwa
miongoni mwa wasafiri wa
kwenda trip hiyo ya utalii wa
angani.

ABC

ABC

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.