WATU WANASEMA MANENO
UUMBA, INAWEZA KUA KWELI
AU SI KWELI. PICHA HAPO JUU
INAICHAMBUA LOGO MPYA YA
BIG BROTHER. KAMA
UNAVYOONA HAPA CHINI
KATIKA PICHA UTAONA KUA
LOGO HIYO INAHUSISHWA NA
MAMBO YA FREEMASON.
UKIANZA NA HILO JICHO
PAMOJA NA VITU VINGINE.
pia kwa nn tangazo linasema
"BIG BROTHER WATCHING
U"? ...na pia kwanini
wanatumia " DEVIL VOICE "?
WEWE UNAONAJE HIYO LOGO,
JE YANAYOSEMWA NI
KWELI?
ABC
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
freemason je ni kweli kilamtu akiwa star eti ni freemason? basi duniyani kote ni ma freemason, kama nikweli . je akuna star asiye kuwa freemason ?
ReplyDelete