Wakati vyombo vingine vya
habari vikiwa vinasubiri kwa
hamu kupata picha za mtoto wa
Kim Kardashian na Kanye
anayetarajiwa kuzaliwa siku
chache zijazo, jarida la watu
wazima (wanaume) la Play Boy
linatamani kupata picha za Kim
akiwa mtupu baada ya
kujifungua.
Chanzo cha karibu na jarida hilo
ameuambia mtandao wa
hollywoodlife kuwa playboy
wanaamini kuwa kama
watapata nafasi ya kupata picha
mpya za utupu za Kim baada ya
kujifungua litauza zaidi ya zile za
mwaka 2007.
Historia huwa haifutiki, lakini
wakati mwingine inaweza
ikamuandama mtu kwa maisha
yake yote, ndio kinachomtokea
sasa Kim Kardashian baada ya
kujihusisha na upigaji wa picha
za utupu na utengenezaji wa
filamu ya kikubwa na aliyekuwa
mpenzi wake wakati huo Ray J.
Well, sometimes biashara huwa
zinafanya vitu visivyowezekana
viwezekane, but then Unadhani
Kanye West anaweza kuruhusu
kitu kama hiki kujirudia kwa
mama wa mwanae Kim K hata
ikitokea Play boy ikimtangazia
dau nene kama dunia?
Uncategories
Jarida la wanaume ‘Play
boy’ linatamani kupata
picha mpya za utupu za
Kim Kardashian za baada
ya kujifungua
ABC
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment