Breaking News
recent

Uthibitisho wa mazungumzo ya Tyga na binti wa miaka 14 anayedai kutongozwa na rapper huyo waachiwa hadharani

Uthibitisho wa mazungumzo (Chat) ya rapper Tyga na binti wa miaka 14 anayedai kutongozwa na rapper huyo umeachiwa hadharani.
Binti huyo, O’Malia anadai kuwa Tyga alimtafuta kwenye mtandao wa Instagram na kuonesha nia ya kumtongoza na sio kumsaidia kimzuki kama alivyodai
“The truth is that Tyga contacted me first. He direct-messaged me on Instagram. I knew who he was, but I was surprised that he was contacting me. I thought that it could possibly be about my music but he did not mention that in his initial communication. I thought that was strange but I was thinking he would bring it up in his next message to me. However, he didn’t mention in the next message.”  O’Malia  Alielezea alipofanya mahojiano na waandishi wa habari hivi karibuni.
Hata hivyo uthibitisho wa mazungumzo yao unaonesha tofauti na madai ya binti huyo,


Hata hivyo Kambi ya Tyga kabla ya uthibitisho huu kuachiwa walisema Tyga alimtafuta binti huyo kwa lengo la kumsaidia kimuziki, na alimuambia kuwa ana umri wa miaka 17, Uthibitisho huu umemueka Tyga pazuri zaidi.
ABC

ABC

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.