Breaking News
recent

Msanii wa India atumia mdundo wa wimbo wa Dully Sykes ‘Utamu’ kwenye wimbo wake....

Imezoeleka kuwa wasanii wa ndani ndio huwa wanachukua midundo ya wasanii wa nje na kuitumia kwenye nyimbo zao, lakini hii ni tofauti, Msanii wa India ametumia mdundo wa wimbo wa Dully Sykes ‘Utamu’ kwenye wimbo wake.
Wimbo huo unaitwa ‘Aana Voona Darling’ Hata hivyo wamemtaja dully sykes kama producer wa wimbo huo, wameandika
“Aana Voona Darling” is a peppy tamil independent music video. The song is a tribute to all young energetic friends to refresh themselves and a tonic to erase the love failure happened in their life. The song is conceived, directed and written by the director himself. The song has been shot in Coimbatore, mixed and mastered in East Africa(Island records studio) and post production in chennai. Composer and Singer – R&B Paul, Music Producer – Dully Sykes
Wimbo Original umeimbwa na Dully Sykes mwenyewe pamoja na Diamond platnumz na Ommy dimpoz.

ABC

ABC

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.