Breaking News
recent

Diamond kuachia Collabo yake na Aka mwezi huu – Meneja

Baada ya Utanipenda kazi inayofata ni collabo ya Diamond na rapper wa Afrika kusini, Aka.
“Nadhani mwezi huu [January] tuna collaboration na AKA ambayo video yake ipo tayari,” 
Amesema sababu ya kuchelewa kuiachia japo waliahidi kuachia video mbili mwezi uliopita ni kwasababu wimbo ‘Utanipenda’ unafanya vizuri , Pia amesema wanauachiawimbo huo kwasababu ni wakuparty ukizingatia ‘Utanipenda’ ni wa huzuni
“Tuna stock nyingi na hii ni collaboration, yaani ni nyimbo ya AKA na Diamond kwahiyo tunapotoa nyimbo ya collabo mara nyingi huwa tunasupport kuhakikisha kuwa inapita, sio unafanya halafu unaiacha tu.” Ameelezea Sallam.
Mwezi uliopita Diamond alishoot video ya collabo yake na Mafikizoro japo bado hawajatangaza itatoka lini.
ABC

ABC

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.