Wizara ya Sheria ya Marekani inasema imefanikiwa kuzisoma data zilizohifadhiwa kwenye Simu ya iPhone mali ya mmoja wa walipuaji katika ...
Read More
Mourinho na mikakati kuiboresha Man utd
Meneja wa zamani wa Chelsea, Jose Mourinho anadaiwa kuanza kujipanga na Manchester United kama atachukua nafasi ya Louis van Gaal. Kwa...
Read More
Midomo sasa kufichua siri za watu
Wataalamu nchini Uingereza wanasema wamevumbua teknolojia ya kusoma midomo ya watu ambayo inaweza kubaini wanasema nini bila kusikia wa...
Read More
Korea Kaskazini yafanya zoezi la kushambulia makao ya rais
Korea Kaskazini imesema kuwa imetekeleza mazoezi ya kuyashambulia makaazi ya rais wa Korea Kusini. Zoezi hilo lilisimamiwa na rais wa t...
Read More
Unakumbuka Stori ya Uingereza kupoteza kombe la dunia mwaka 1966?
Mwaka 1966 fainali za Kombe la Dunia ziliandaliwa nchini Uingereza na wenyeji wakashinda lakini nusura kukosekane kombe la kuwazawadi b...
Read More
Baba Mtakatifu aosha miguu ya waislamu
Mkuu wa kanisa katoliki duniani Papa Francis ameosha miguu ya wahamiaji waislamu mjini Rome katika tukio la unyenyekevu linaloambatana ...
Read More
Fuvu la Shakespeare huenda liliibiwa
Uchunguzi wa kisasa uliofanyiwa kaburi la mwandishi mashuhuri William Shakespeare umeonesha huenda fuvu la kichwa chake liliibiwa. Ugu...
Read More
Wiz Khalifa asema hana sababu ya kumuomba msamaha Kanye West kwenye Jarida la GQ
Kwa mara ya kwanza Wiz Khalifa amefunguka kuhusiana na beef jiyo iliyodumu kwa muda mfupi kati yake na Kanye West. “Imeshaisha haina...
Read More
Trump na Clinton washinda mchujo Arizona
Wagombea urais wanaoongoza nchini Marekani Donald Trump wa Republican na Hillary Clinton wa Demcratic wamepata ushindi mkubwa katika mc...
Read More
FBI huenda wakafungua simu ya muuaji
Idara ya Haki ya Marekani imesema huenda shirika la upelelezi la FBI limegundua njia ya kufungua simu ya mkononi ya muuaji aliyewapiga ...
Read More
Leicester City kukutana na Barcelona
Klabu ya Leicester City ya Uingereza itacheza dhidi ya miamba wa Ulaya, klabu ya Barcelona kutoka Uhispania, Agosti mwaka huu. Klabu hiy...
Read More
Wabunge Uingereza wamjadili Trump.
Wabunge wa Uingereza wamekuwa na mjadala kuhusu kupigwa marufuku au la kwa anayewania nafasi ya kupeperusha bendera ya chama cha republ...
Read More
J cole afunga ndoa kimya kimya....
Rapper J cole amefunga ndoa kimya kimya. J. Cole just got forced to admit that he's married at #MLKNOW pic.twitter.com/qH301f8Txa...
Read More
Uongozi wa Diamond waitolea ufafanuzi kauli yake kuhusu kuidhinisha video za wasanii wa Bongo kupigwa MTV
Uongozi wa Diamond umeitolea ufafanuzi kauli ya Diamond kuhusu kuidhinisha video za wasanii wa Bongo kupigwa kwenye kituo cha MTV Base. ...
Read More
TCRA yavifunga vituo vya habari TZ.....
Mamlaka ya mawasiliano nchini Tanzania, TCRA imevifungia vituo vya Radio na Television kwa muda wa miezi 3 kikiwemo kituo cha Star TV, ...
Read More
Huwezi kumshindanisha Kendrick Lamar na Drake, Kendrick yupo juu – Barack Obama
Rais wa Marekani, Barack Obama Ana amini Kendrick Lamar anauwezo zaidi ya Drake. Alipokuwa akifanya mahojiano na watangazaji wa vipind...
Read More
Céline Dion ampoteza kaka yake kwa ugonjwa wa kansa siku mbili baada ya kifo cha mume wake.
Mwanamuziki mkongwe, Celine dion amefiwa na kaka yake siku mbili baada ya kifo cha Mme wake, Rene nyumbani kwao huko Las Vegas. Kaka wa ...
Read More
Real Madrid na Atletico Madrid wapigwa marufuku kusajili.....
Miamba wa Uhispania Real Madrid na Atletico Madrid wamepigwa marufuku kutonunua wachezaji wapya sokoni vipindi viwili. Klabu hizo zim...
Read More
Utazipenda picha za Christina Milian kwenye cover la jarida la RollingOut......
Muigizaji na muimbaji, Christina Milian yupo kwenye cover ya toleo jipya la jarida la RollingOut, amezungumzia kuhusiana na Tv show, miti...
Read More
Google yasema magari yake ni Salama......
Madereva wa magari yanayojiendesha ya Google walilazimika kushika usukani wa magari hayo ili kuzuia yasifanye ajali katika barabara za ...
Read More
Mume wa Celine Dion afariki dunia......
Rene Angelil, mume wa mwanamuziki mashuhuri duniani Celine Dion, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 73, mwanamuziki huyo ametangaza...
Read More
Sipendi kufananishwa na rappers wengine – Joh Makini.....
Joh Makini anaamini kumfananisha na rappers wengine ni kutengeneza chuki. Akiongea na XXL ya Clouds Fm, Joh Makini amesema hapendi kabis...
Read More
Msanii wa India atumia mdundo wa wimbo wa Dully Sykes ‘Utamu’ kwenye wimbo wake....
Imezoeleka kuwa wasanii wa ndani ndio huwa wanachukua midundo ya wasanii wa nje na kuitumia kwenye nyimbo zao, lakini hii ni tofauti, M...
Read More
Sina mpango wa kufuta Tattoo ya shilole lakini nimesikitika kwasababu amefuta yangu – Nuh Mziwanda
Nuh Mziwanda amedai mbali ya kuachana na Shilole lakini hana mpango wa kufuta tattoo ya mrembo huyo. Nuh amesema amesikitishwa na kitend...
Read More
Lionel Messi awaburuza Ronaldo na Neymar Ballon d’Or......
Mshambuliaji wa klabu ya soka ya Barcelona, na timu ya taifa ya Argentina Lionel Messi, ametwaa tuzo ya mchezo bora wa dunia. Messi mwe...
Read More
Tuzo za FIFA kufanyika leo, Orodha ya wachezaji, Orodha ya wachezaji wanaowania tuzo iko hapa........
Tuzo za Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) za dunia zinatarajiwa kutolewa leo, Jumatatu Januari 11 jijini Zurich, Uswisi yalipo makao mak...
Read More
Subscribe to:
Posts (Atom)