Breaking News
recent

ZIJUE TOFAUTI SITA KATI YA UBONGO WA MWANAMKE NA MWANAUME

1. Ubongo wa mwanamke
unaweza kufanya mambo
mawili kwa wakati mmoja;
mfano kuzungumza kwenye
simu na kufuatilia kipindi
kwenye TV. Mwanaume
hawezi.
2. Lugha: wanawake
wanaweza kujifunza lugha
nyingi kwa urahisi.
Chukua mtoto wa kike na wa
kiume wenye umri wa miaka
mitatu.
Mara nyingi wa kike atakuwa
anajua maneno mengi kuliko
wa kiume.
3. Kusema uongo: mwanaume
akimdanganya mwanamke uso
kwa uso ni rahisi
kushtukiwa. Wanawake
hugundua ukweli kupitia uso
wako kwa 70%, kupitia body
language yako 20% na 10%
kupitia maneno
yako. Ubongo wa mwanaume
hauna uwezo huo ndiyo
maana ni rahisi mwanamke
kumdanganya mwanaume uso
kwa uso.
4. Uwezo wa kutatua matatizo:
mwanaume akiwa na matatizo,
ubongo wake
huyachukua na kuyatenga
katika makundi mbalimbali
na kisha huanza kutafuta
suluhisho moja baada ya
jingine. Mwanamke akiwa
na matatizo ubongo wake
hauwezi kuyatenga na badala
yake hutaka mtu amsikilize.
Baada ya kumwambia mtu
matatizo yake yote
akili yake hupata kiwango
fulani cha utulivu na huwa
mara
nyingi hajali kama yatatuliwa
au la.
5. Mahitaji: Wanaume
wanahitaji heshima kwenye
jamii, mafanikio, sifa, nk.;
wanawake wanapenda
mahusiano, familia, marafiki,
etc.
6. Kuongea: mwanamke mara
nyingi hutumia lugha ya
kificho. Mwanaume
hutumia lugha ya moja kwa
moja.

ABC

ABC

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.