Breaking News
recent

MSICHANA WA MIAKA 25 ALIYEFANYA MAPENZI NA WANAUME 5,000

Ukishangaa ya Musa utayaona ya
Firauni. Wakati wapo wanawake
ambao hawapati salamu
barabarani, Nikki Lee, 25
amevunja rekodi baada ya
kutimiza idadi ya wanaume 5,000
aliofanya nao ngono.
Nikki ambaye aliibukia katika fani
ya urembo anasema alifanya
vitendo hivyo kwa muda wa
miaka tisa sehemu mbalimbali
alizokuwa akitembelea.
Anasema alikuwa anafanya ngono
katika klabu za usiku, ndani ya
ndege, mbuga za wanyama,
sehemu za kupaki magari, ndani
ya gari, sinema na disko.
Anasema kwamba alianza
kufanya hivyo tangu alipotolewa
bikira yake akiwa na umri wa
miaka 16.
Anasema aliweza kufanya ngono
na wanaume wawili kwa siku.
"Nilikuwa nasikia raha ya ajabu
na ndiyo maana nilipenda
kufanya ngono wakati wote,"
anasema Nikki. Alipokuwa na
miaka 21 alifikisha idadi ya
wapenzi 2,289 ambao alikuwa
amewaandika katika kitabu chake
chekundu.
"Hakuna mwanaume aliyepita
mbele yangu asinitamani kwa
waliotaka kufanya nami mapenzi
nilifanya hivyo, kwa sasa
nimeathirika na ngono," anasema
Nikki.

ABC

ABC

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.