Breaking News
recent

Mtanzania ahamasisha dunia

Hebu tafakari, kusafiri kutoka
nchini Chile Amerika ya Kusini
hadi London na kisha kuvuka
mpaka na kuingia Ujerumani na
kisha kwenda Afrika?
Kwa wanaotumia ndege, safari
hiyo sio hoja.
Lakini kwa mwanamume mmoja
mtanzania, Lelo Elvis Munis,
safari yake imemchukua zaidi ya
miaka miwili ingawa kwa manufaa
na faida ya jamii.
Lelo Elvis Munis, amekuwa
akiendesha baisikeli kote duniani
kwa lengo la kuhamasisha Afrika
kuhusu uhifadhi wa mazingira na
kuchangisha pesa kuwasaidia
vijana wa Tanzania kupata elimu
muhimu wanayoihitaji. Amekuwa
akisafiri kwa karibu miaka miwili
na anakaribia kumalizia safari
yake wiki ijayo katika eneo la
Mlima Kilimanjaro nchini
Tanzania.
Mwandishi wa BBC Robert Kiptoo,
alikutana na Elvis mjini Nairobi
baada ya kuwasili kutoka Rwanda

ABC

ABC

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.