Breaking News
recent

MMILIKI WA TIMU YA MANCHESTER UNITED, AFARIKI DUNIA!

Mmiliki wa timu ya Manchester
United, Malcolm Glazer, amefariki
dunia huko nyumbani kwake
Marekani akiwa na umri wa miaka
85.
Glazer aliinunua klabu hiyo mwaka
2005 kwa pauni milioni 790 sawa na
shilingi trioni 2.2, na akashuhudia
timu hiyo ikipata mafanikio kadhaa
ikiwemo kutwaa Kombe la Klabu
Bingwa Ulaya na ya Ligi Kuu ya
England.

R.I.P Glazer!

ABC

ABC

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.