Breaking News
recent

Google kufuta historia ya watu Ulaya

Google ina wasiwasi kuwa mataifa
kandamizi yatafurahia sana amri
ya mahakama Ulaya
Kampuni ya Google inatarajiwa
kuzindua huduma ambayo,
itawawezesha raia wa Ulaya
kuomba viambatanishi vya
mitandao yenye taarifa kuhusu
maisha yao kufutwa
Google ambao hutumiwa kwa
ukubwa duniani kutafuta taarifa
imesema kamati ya wakurugenzi
wakuu na wataalamu wa
kujitegemea wataunda mpango
wa muda mrefu kushughulikia
maombi hayo ya watu kutoka
Ulaya.
Hatua hiyo inajiri baada ya
mahakama ya haki Ulaya kuamua
kwamba viambatanishi vya data
za zamani au zisizo muhimu za
watu zinapaswa kufutwa iwapo
watu wataomba hivyo.
Mkurugenzi mkuu wa Google,
Larry Page amesema kampuni
hiyo itafuata hukumu hiyo ya
Ulaya lakini ameonya huenda
ikaathiri ubunifu na ikafurahisha
nchi zenye watawala
wakandamizaji.

ABC

ABC

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.