Breaking News
recent

Mama wa Lupita Nyong’o anataka mwanae aolewe? Stori zilianzia hivi wakiwa kwenye gari..

Kama wewe ni mpenzi wa Movie najua utakumbuka movie kali ya 12 Years A Slave ambayo ilitoka mwaka 2013 na ndani yake kulikuwa na mastaa kibao wakali ikiwemo Michael Fassbender, Chiwetel Ejiofor na Brad Pitt. .. Lakini yuko mrembo toka Kenya pia, Lupita Nyong’o… movie hiyo ilikuwa njia ya kumsogeza mrembo huyo kufahamika Duniani kote na baadae akaanza kupata madili kibao ikiwemo ya Fashion na biashara nyingine.
sub23BAGGERjp2-articleLarge
Huyu ni Lupita Nyong’o kwenye ’12 Years A Slave’.
Lupita alitua nyumbani kwao Kenya na hata alipoondoka hakukosa story za kusimulia kuhusu mambo ya Kenya… Lupita anasimulia hii kuhusu kuolewa >>> “Nilipokuwa Kenya kuna siku nilikuwa kwenye gari na mama yangu, akasema ‘ile ni shule nzuri sana kwa watoto’, alafu akageuka kuniangalia… Mama anataka niwe na watoto kwa sasa“– Lupita Nyong’o.
Lupita-4
Okay, baada ya hilo kuna hiki alikitolea jibu pia, je ataolewa nyumbani kwao Kenya na watoto wake atawalea Kenya pia? >>> “Itategemeana na wakati wenyewe itakavyokuwa akipatikana mwanaume wa kunioa“- Lupita.
article-0-1C0371AE00000578-587_634x429

ABC

ABC

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.