
Mshambuliaji wa kimataifa wa Ureno anayekipiga katika klabu ya Real Madrid yaHispania Cristiano Ronaldo mwezi June mwaka 2015 aliingia katika headlines baada ya kukiri kuwa amecheza movie inayohusu maisha yake na itatoka kabla ya mwaka 2015 haujamalizika. June 9 2015 mtandao wa bleacherreport.com uliandika kuhusiana na stori hii.
September 28 Cristiano Ronaldo amerudi katika headlines baada ya kuachia trailer ya movie yake, movie ambayo ilichukua zaidi ya miezi 14 kuitengeneza, movie hiyo imepewa jina rahisi na staa huyo wa soka, kwani inaitwa jina halisi la staa huyo “Ronaldo” . Movie ya Cristiano Ronaldo ni movie ambayo kwa asilimia kubwa inahusu maisha yake halisi.

No comments:
Post a Comment