Breaking News
recent

Dully Sykes kathibitisha hutomwona kwenye Kampeni za Siasa, Kupiga Kura je? (Audio + Pichaz)

Dully Sykes ni Mkongwe wa Bongo Fleva, japo wapo Mastaa wengine pamoja na wakongwe kama yeye ambao wamejiingiza kwenye Siasa kwa kuwapigia Kampeni Wagombea wa nafasi mbalimbali… Dully aliandika kwenye ukurasa wake Instagram kwamba hana Chama na hapendezwi na ishu ya lugha chafu kutumiwa na Makada na Wagombea kuchafuana kwenye Majukwaa ya Siasa.
Kwenye Exclusive Interview Dully kaongea na haya kuhusu msimamo wake >>> “Hiki ni kipindi ambacho wasanii wengi wanatumika kufanya Kampeni, msanii anaweza kuwa na Chama alafu Chama kingine kikamhitaji kwa dau kubwa zaidi, anakosa msimamo…
DSC_0216
Mwisho wa yote amini unachokiamini na muamimi unayemuamini ila tupige kura kwa amani tarehe 25 October.. nitakuwepo mmoja kati ya watakaopiga kura.” >>> Dully Sykes.
DSC_0252
DSC_0255
ABC

ABC

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.