Breaking News
recent

Davido kaja tena kuileta ‘Dodo’ kwenye video yake kabisa, enjoy mtu wa nguvu…

Jina lake kwenye passport na na vyeti vingine rasmi linasomeka hivi >>> David Adedeji Adeleke, Dunia inamtambua kwa kazi nzuri ya muziki anaoufanya, anafahamika kwa jina la Davido.. kichwa kingine kinachoibeba Bendera ya Nigeria kwa kazi ya muziki anaoufanya.
Davidoor
Hits za Davido ni nyingi ambazo zinafanya jina lake kuwepo kwenye list yoyote inayohusisha mastaa wa muziki toka Nigeria, jamaa karudi tena… mdundo unaitwa ‘Dodo’.. YES, baada ya audio yake kutoka siku chache zilizopita sasahivi ni time ya video yenyewe.



ABC

ABC

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.