Breaking News
recent

Teknolojia

[Teknolojia][txgallery]

Michezo

[Michezo][txmag]

Entertainments

[Entertainment][txmag]
0

Marekani yaifungua iPhone ya Mlipuaji

Wizara ya Sheria ya Marekani inasema imefanikiwa kuzisoma data zilizohifadhiwa kwenye Simu ya iPhone mali ya mmoja wa walipuaji katika ...
Read More
0

Mourinho na mikakati kuiboresha Man utd

Meneja wa zamani wa Chelsea, Jose Mourinho anadaiwa kuanza kujipanga na Manchester United kama atachukua nafasi ya Louis van Gaal. Kwa...
Read More
0

Midomo sasa kufichua siri za watu

Wataalamu nchini Uingereza wanasema wamevumbua teknolojia ya kusoma midomo ya watu ambayo inaweza kubaini wanasema nini bila kusikia wa...
Read More
0

Korea Kaskazini yafanya zoezi la kushambulia makao ya rais

Korea Kaskazini imesema kuwa imetekeleza mazoezi ya kuyashambulia makaazi ya rais wa Korea Kusini. Zoezi hilo lilisimamiwa na rais wa t...
Read More
0

Unakumbuka Stori ya Uingereza kupoteza kombe la dunia mwaka 1966?

Mwaka 1966 fainali za Kombe la Dunia ziliandaliwa nchini Uingereza na wenyeji wakashinda lakini nusura kukosekane kombe la kuwazawadi b...
Read More
0

Baba Mtakatifu aosha miguu ya waislamu

Mkuu wa kanisa katoliki duniani Papa Francis ameosha miguu ya wahamiaji waislamu mjini Rome katika tukio la unyenyekevu linaloambatana ...
Read More
0

Fuvu la Shakespeare huenda liliibiwa

Uchunguzi wa kisasa uliofanyiwa kaburi la mwandishi mashuhuri William Shakespeare umeonesha huenda fuvu la kichwa chake liliibiwa. Ugu...
Read More
0

Wiz Khalifa asema hana sababu ya kumuomba msamaha Kanye West kwenye Jarida la GQ

Kwa mara ya kwanza Wiz Khalifa amefunguka kuhusiana na beef jiyo iliyodumu kwa muda mfupi kati yake na Kanye West.   “Imeshaisha haina...
Read More
0

Trump na Clinton washinda mchujo Arizona

Wagombea urais wanaoongoza nchini Marekani Donald Trump wa Republican na Hillary Clinton wa Demcratic wamepata ushindi mkubwa katika mc...
Read More
0

FBI huenda wakafungua simu ya muuaji

Idara ya Haki ya Marekani imesema huenda shirika la upelelezi la FBI limegundua njia ya kufungua simu ya mkononi ya muuaji aliyewapiga ...
Read More
0

Leicester City kukutana na Barcelona

Klabu ya Leicester City ya Uingereza itacheza dhidi ya miamba wa Ulaya, klabu ya Barcelona kutoka Uhispania, Agosti mwaka huu. Klabu hiy...
Read More
0

Wabunge Uingereza wamjadili Trump.

Wabunge wa Uingereza wamekuwa na mjadala kuhusu kupigwa marufuku au la kwa anayewania nafasi ya kupeperusha bendera ya chama cha republ...
Read More
0

J cole afunga ndoa kimya kimya....

Rapper J cole amefunga ndoa kimya kimya. J. Cole just got forced to admit that he's married at #MLKNOW pic.twitter.com/qH301f8Txa...
Read More
0

Uongozi wa Diamond waitolea ufafanuzi kauli yake kuhusu kuidhinisha video za wasanii wa Bongo kupigwa MTV

Uongozi wa Diamond umeitolea ufafanuzi kauli ya Diamond  kuhusu kuidhinisha video za wasanii wa Bongo kupigwa kwenye kituo cha MTV Base. ...
Read More

Siasa

[Siasa][txmag]

Lifestyle

[Lifestyle][txgallery]
Powered by Blogger.