Breaking News
recent

Wiz Khalifa asema hana sababu ya kumuomba msamaha Kanye West kwenye Jarida la GQ

Kwa mara ya kwanza Wiz Khalifa amefunguka kuhusiana na beef jiyo iliyodumu kwa muda mfupi kati yake na Kanye West.
 “Imeshaisha haina maana tena” Wiz Khalifa alijibu kwenye mahojiano na jarida la GQ

Pia rapper huyo alipoulizwa kama alimuomba msamaha Kanye west alijibu,
“Sina sababu yoyote ya kumuomb msamaha.”
Ugomvi wa Wiz khalifa na Kanye west ulianza mapema mwaka huu baada ya kanye west kubadilisha jina la album yake na kuita ‘Waves’, Wiz khalifa alimshutumu kuwa jina hilo aliliiba kutoka kwa msanii mwingine.
“Please don’t take the wave” Aliandika wiz khalifaMax B is the wavy one. He created the wave. There is no wave without him.”
ABC

ABC

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.