Breaking News
recent

LG matatani kuhusu faragha

Kampuni ya televisheni, ya LG
inachunguza madai kuwa baadhi
ya tevisheni zake zinatuma taarifa
kwa kampuni hiyo kuhusu
zinavyotumiwa na wanaozimiliki,
licha ya watumiaji kuhakikisha
kuwa faragha zinalindwa.

ABC

ABC

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.