Breaking News
recent

RACHEL HAULE NA MWANAYE, KUZIKWA LEO DAR!

Msanii wa filamu Rachel Haule
'Recho' aliyefariki dunia siku ya
juzi, pamoja na mwanaye
aliyejifungua akafariki,
watazikwa jijini Dar es Salaam
siku ya leo badala ya Songea
kama ilivyopangwa hapo awali.
Ratiba ya kuaga miili ya
marehemu kwa siku ya leo pale
Leaders Club, itaanza saa 4
kamili asubuhi, na baadae
kwenda kuzikwa katika makaburi
ya Kinonondoni.

ABC

ABC

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.