Breaking News
recent

MWANAMKE MPAKISTAN KUPIGWA MAWE NA KUFA, UN YAINGILIA!

Kamishna wa Umoja wa Mataifa
(UN) anayesimamia Haki za
Kibinadamu, Navi Pillay,
amejiunga na maelfu ya watu
duniani wanaoshutumu vikali
mauaji ya mwanamke
Mpakistani aliyepigwa mawe
hadi kufa nje ya mahakama na
ndugu wa familia yake kwa
madai ya kuolewa na
mwanamume aliyempenda.
Mwanamke huyo aliyejulikana
kwa jina la Farzana, aliuwawa
kwa kupigwa mawe na ndugu
zake huku Polisi wakishuhudia
ila hawakufanya lolote.
Mamia ya wanawake huuliwa
kila mwaka nchini Pakistan kwa
kuolewa na watu wasiopendwa
na familia zao

ABC

ABC

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.