Msanii Shilole ambae yuko
marekani, amepiga picha
inayomuonyesha akiwa nje, huku
akiwa amevaa taulo.
kutokana na mtandao wa global,
Shilole alifanya tukio hilo akiwa
Maryland Marekani, pale
alipokuwa akielekea
supermarket, na baada ya
kuulizwa kisa cha kufanya hivyo
hiki ndicho alichokijibu
“Huku watu wanaishi kizungu
hakuna mtu anayeshughulika na
maisha ya mwenzake kila mmoja
anahangaika na mambo yake
kwa hiyo siyo ajabu mimi kuvaa
taulo na kwenda nalo
supermarket, huku ni kawaida
tu.”
Shilole yuko marekani kwa ajili
ya kufanya show
ABC
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment