Breaking News
recent

Suma Lee Amshukia Lamar Baada Ya Beat La Wimbo Ama Pini Lake Kufanana Na Wimbo Mwingine!

Jana kupitia mtandao wa
instagram, msanii Suma Lee
ambae siku ya juma nne wiki
iliyopita alitambulisha ngoma
yake mpya "Wanasema"
ilitengenewa na producer Lamar,
alipost picha inayoonyesha
mazungumzo yake na mtu
mwingine {sifahamu ni nani}
ambapo alikua akiambiwa na
kutumiwa beat ya wimbo
unaofanana na wimbo wake huo
mpya.
nadhani baada ya kusikiliza beat
hiyo ndipo alipoamua kuweka
wazi mazungumzo hayo pamoja
na kicha cha habari
alichokiandika hivi
"khaaaaa!!!!! hehehe.LAMAR
nini hii!!!!! maana unamtia
aibu SUMA LEE. Achekwe na
ISMAIL MSWAHILI aaaaagh!!!!
maza!! faza!!!

ABC

ABC

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.